Siku chache baada ya chama tawala nchini Uganda, NRM kutangaza kuyakataa matokeo ya uchaguzi mdogo wa ubunge kwenye eneo la ...
Baada ya kutangazwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa Uganda wa Januari 14, Rais Yoweri Museveni anaelekea kukaa madarakani kwa muda wa miaka 40 - tayari muda mrefu kuliko rais mwingine yeyote katika ...
Ni sura ya mwanaume kavalia kofia na gwanda la kijeshi. Ni rahisi kumjua, Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda. Kinachovutia hasa sio kipaji cha mchoraji namna alivyoipatia sura hiyo. Bali ni ...
Viongozi wa upinzani nchini Uganda wametoa makataa ya saa 48 kwa Rais Yoweri Museveni, wakitaka kuachiliwa mara moja kwa Dk Kizza Besigye na wafungwa wengine wote wa kisiasa. Tangazo hilo ...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema kuwa tabia ya baadhi ya viongozi wa Afrika ...