Tanzania imeongoza Afrika Mashariki kwa mujibu wa ripoti ya Global Peace Index (GPI) inayotolewa na taasisi ya uchumi na amani (IEP)yenye makao yake makuu mjini Sydney nchini Australia.
Qatar pia imesimamia mikataba ya amani barani Afrika, ikiwa ni pamoja na usitishaji vita wa 2022 kati ya serikali ya Chad na ...
Angola imekuwa ikijaribu kuwa mpatanishi kwa lengo kufikia hatua ya kusitisha mapigano la kudumu na kupunguza mvutano kati ya ...
Madai ya unyanyasaji wa kijinsia na unyonyaji katika ujumbe wa kulinda amani na ule wa kisiasa wa Umoja wa Mataifa, vimeshika ...
Kadhalika, viongozi na wakuu wa nchi hizo, EAC, SADC na Afrika kwa ujumla wazidi ‘kukuna vichwa’ wakimwomba Mungu wapate ...
Uamuzi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuondoa vikosi vyake vya kulinda amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), unatajwa kuwa mbinu ya kushinikiza njia ...
Kuwasili ujumbe huo wa viongozi wa mataifa ya Afrika mjini Bujumbura ni sehemu ya juhudi jumla za kidiplomasia za kujaribu kusaka ufumbuzi wa amani kwa mzozo wa Burundi. Thibitisho la serikali kwa ...
Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamekutana Harare, Zimbabwe pamoja na mambo mengine wamejadili suala la amani Mashariki mwa Jamhuri ya ...