Mahakama ya Juu zaidi nchini Kenya imeamua kuwa Rais Uhuru Kenyatta alitenda kinyume cha sheria alipoanzisha mchakato wa kufanya mabadiliko mapana ya katiba. Majaji wa mahakama hiyo ya upeo ...
Uamuzi wa BBI unaosubiriwa kwa hamu unatarajiwa kutolewa hii leo katika mahakama ya rufaa Katika mawasiliano kwa pande husika, mahakama hiyo inasema uamuzi huo utasomwa na majaji saba. Hatahivyo ...