MKURUGENZI wa Rasilimali watu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) Brigedia Jenerali Simon Pigapiga amewataka wahitimu ...
Taarifa hiyo ilisema: 'Kufuatia mashambulizi ya mfululizo katika maeneo ya Sake na Goma yaliofanywa na waasi wa M23 tarehe 24 na 28 Januari , jeshi la ulinzi la tanzania JWTZ limewapoteza askari ...
Wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wametumwa chini ya mwavuli wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), kambi ya kikanda inayofanya kazi mashariki mwa ...
Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) imesema hali ya ulinzi na usalama nchini Tanzania iko sawa licha ya uwepo wa vitisho vya kiusalama yaani kigaidi na itikadi kali. Asha Juma and Dinah Gahamanyi ...