Kigoma. ’Vumbi sasa basi.’ Ni kauli ya matumaini kwa wananchi wa Kigoma, wakielezea adha waliyokuwa wakipitia kabla ya ujenzi wa barabara ya Kabingo- Kasulu- Manyovu. Ujenzi wa barabara ...
Kigoma. Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kigoma (RCC) imeridhia kugawanya majimbo manne ya uchaguzi mkoani Kigoma ambayo ni ...