Serikali imesisitiza kwamba nzige hawajaingia nchini Tanzania, tofauti na ilivyoripotiwa hapo awali Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ambaye aliithibitishia BBC kuwa kundi la nzige limeonekana katika ...
WENYEJI wa michuano ya Kombe la Mapinduzi 2025, Zanzibar Heroes imetinga fainali kwa mbinde na sasa itakutana tena na Burkina Faso iliyowanyoa bao 1-0 katika makundi baada ya juzi usiku ...