Kwa maana hii, ukubwa wa kiuno hugawanywa na ukubwa wa nyonga. Iwapo kipimo hiki ni 0.7 hadi 0.8 basi itachukuliwa kama kitu cha kawaida. Lakini kama kikizidi kipimo hiki, hatari itaongezeka.