Ilikuwa Juni 27 1850. Ilikuwa siku ambayo Malkia Victoria alifikishwa kwenye mlango wa kifo. Jioni hiyo alitoka na watoto wake watatu kwenda kumtembelea mjomba wake aliyekuwa anaumwa nyumbani ...