资讯

Mzozo uliotokea kati ya Jomo Kenyatta na Jaramogi Oginga Odinga Tangu taifa la Kenya lilipojipatia Uhuru , Kenya imewahi kuwa na makamu wa rais 10 na naibu wa rais mmoja.
si ya Rais na katibu wa baraza la mawaziri aliyehudumu kwa muda mrefu zaidi katika serikali ya rais mwanzilishi wa taifa la Kenya Mzee Jomo Kenyatta. Geoffrey Kariithi Karekia, maarufu G.K ...
Siasa za Kenya kwa miaka mingi tangu nchi hiyo ipate uhuru wake mwaka wa 1963 zimeegemea familia za Mzee Jomo Kenyatta na Jaramogi Oginga Odinga, mashujaa wawili wa vita vya ukombozi, ambao miaka ...
Jaramogi ndiye aliyetufikisha hapa tulipo kutokana na mateso aliyopitia kutufanya sisi sote huru kutoka serikali ya Hayati mzee Jomo Kenyatta na Daniel Toroitich Arap Moi. Rais wa watu miaka ya nyuma.
Heshima kama hizo za kijeshi zilitolewa kwa mwanzilishi wa taifa Mzee Jomo Kenyatta aliyeaga dunia mwaka 1978 na rais wa pili wa taifa hayati Daniel Arap Moi aliyefariki dunia mwezi Februari mwaka ...