Benki ya Dunia ilisema kuwa imesitisha ufadhili wake wa mradi wa utalii wa dola milioni150 katika Hifadhi ya Kitaifa ya Ruaha, ikisema ina wasiwasi mkubwa kuhusu madai hayo. "Serikali ya Tanzania ...
Mchange anasema kupitia ripoti ya mazingira za Taifa, asilimia 16 ya ardhi ya Tanzania ni jangwa huku asilimia 63 ikiwa imeharibiwa. Anaeleza, kuwa sio mto Ruaha pekee inayokumbana na changamoto ...