资讯

Msanii wa Bongo Fleva, Salum Mohamed aliyetamba kwa jina la Jukwaani kama Sam wa Ukweli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Juni 7, 2018. Sam alitamba sana na kazi zake kama vile Sina Raha ...