资讯

Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza na wapekee ukanda wa Jangwa la Sahara kufikisha subscribers milioni 10 kwenye mtandao wa YouTube.
Msanii wa Bongo Fleva, Salum Mohamed aliyetamba kwa jina la Jukwaani kama Sam wa Ukweli amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Juni 7, 2018. Sam alitamba sana na kazi zake kama vile Sina Raha ...
Hali ya simanzi na huzuni imegubika familia ya msanii wa bongo Fleva Ali Kiba baada ya babake ... Kulingana na Gazeti la mwananchi nchini Tanzania ndugu mdogo wa mwanamuziki huyo ambaye pia ...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize amesema muda mrefu aliishi kwa hofu na mashaka juu ya watu aliokuwa akiingia nao kwenye ...
MWIMBAJI wa Bongo Fleva, Harmonize ameimarisha rekodi lebo yake yake ya Konde Music Worldwide kwa kuongeza watendaji kadhaa ...