Ili kupata ufanisi wa mbinu hiyo, 'ni lazima uwe na idadi kubwa ya wateja, ili ndege ijaye saa zote, na kuwe na mzunguko mkubwa wa safari hizo' anasema. Anaeleza kwamba taswira nchini Tanzania ni ...
Dkt. Zaituni amabaye ni rais wa madaktari wanawake nchini Tanzania amekuwa daktari bingwa mbobezi kwa takribani miaka 20.
KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Hemed Suleiman 'Morocco', ametangaza kikosi cha mastaa 24 kitakachoingia ...