Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa Rais wa pili wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kutokea Zanzibar. Ni baada ya miongo mitano na marais watano tangu muungano wa Tanganyika na Zanzibar uundwe 1964.
Serikali ya Zanzibar leo imetoa ripoti ya uchunguzi wa kuzama kwa meli ya MV Spice Islander hapo Septemba 10, 2011 eneo la Nungwi, Kaskazini mwa kisiwa cha Unguja. Aliyetoa ripoti hiyo kwa niaba ...
Ili kukuza uchumi wa kidijitali, Serikali ya Tanzania imeendelea kuchukua hatua madhubuti kwa kusaini makubaliano (MoU) ya ...
Wizara ya Afya Zanzibar imetiliana saini mkataba wa makubaliano na Taasisi ya Aga Khan kuhusu ushirikiano katika mapambano ...
Taasisi ya Wakurugenzi Tanzania (IoDT) na Ofisi ya Msajili wa Hazina Zanzibar (TRO Zanzibar) wametia saini hati ya makubaliano (MoU) yenye lengo la kuimarisha mifumo ya utawala bora, kuboresha uzingat ...
RAIS wa Zanzibar Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Mafanikio ya Ukuaji wa Uchumi wa Tanzania Unatokana na Usimamizii Mzuri wa ...
Mamlaka ya Mafunzo ya Amali Zanzibar (VTA) inatarajia kujenga vyuo vipya sita ambavyo vitajikita zaidi kutoa elimu katika ...