资讯

MADRID, HISPANIA: NDIO. Kocha wa Liverpool, Arne Slot anaishi ndoto za kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti ambaye amekiri kwamba kuifundisha Liverpool ni ndoto yake ya muda mrefu. Baada ya Brendan ...
STRAIKA wa Napoli, Victor Osimhen amezungumzia mustakabali wake wakati mkataba wa mkopo wa msimu mmoja Galatasaray ...
BARCELONA iko tayari kumuuza Raphinha dirisha la usajili la majira ya kiangazi ikiwa itapokea ofa ya Euro 80 milioni, taarifa ...
PAMBA Jiji imekubaliana na kipigo ilichokipata katika robo fainali ya Kombe la Shirikisho (FA), lakini imesema haitakubali ...
KITENDO cha mastaa wa Simba SC kucheza kwa nidhamu kubwa dhidi ya Al Masry katika michezo miwili ya hatua ya robo fainali ya ...
LIGI ya Mabingwa Ulaya inaendelea leo kwa michezo miwili ya robo fainali kupigwa, lakini mechi inayotarajiwa kutazamwa zaidi ...
KIPA wa Manchester United, Andre Onana amepewa ofa nono kutimkia Saudi Arabia, lakini amesisitiza kwamba anataka kubaki na ...
MOJA ya habari zinazotreni mitandaoni na vyombo vya habari ni iliyokuwa ndoa ya Haji Manara na Zaylissa ambayo imefikia ...
YANGA ilichowafanyia Stand United ni kitu cha kikatili sana, baada ya kuichakaza kwa mabao 8-1, kwenye mchezo ambao ...
BAADA ya winga wa Singida Black Stars, Victorien Adebayor kufunga bao moja katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Kagera Sugar, ...
UONGOZI wa Simba SC, umesema mapema kesho Jumatano saa 3 asubuhi kikosi chao kitaanza safari kutoka Dar es Salaam kuelekea ...
NI miezi mitano sasa imepita tangu kuibuka kwa sakata la Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Martha mwaipaja na dada yake Beatrice ...