Serikali ya Tanzania imesema kuna baadhi ya viongozi nchini humo kwa maslahi yao binafsi wanachangia katika uharibifu wa mazingira ikiwemo vyanzo vya maji na kupelekea mito kukauka. Aidha ...