Amesema kuwa baraza hilo linawataka wanachi wa Missenyi kila kaya kuwa na miche ya kahawa angalau 20 hadi 30 huku akimtaka mkurugenzi wa halmashauri hiyo kuanza kutenga maeneo Kwa ajili ya vijana na ...
Miongoni mwa ushahidi uliomtia hatiani ni pamoja na kukiri kumuua baba yake na mama yake wa kambo kwa kuwakata na panga kutokana na mgogoro wa ardhi, kwa madai kuwa baba yake alimzuia kulima shamba ...
Mambo mengi ya kujifurahisha yanaendana vyema na maisha ya kujitenga, kama vile kusoma, kulima bustani, matembezi, kusikiliza muziki, kupika, na kufanya aina mbalimbali za kazi za mikono.
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum,Mwanaidi Ali Khamis,akizungumza na Kamati za MTAKUWWA II za wilayani Arumeru,vikundi vya malezi na wadau wengine wa masuala ya ...
Afrika ina jua la kutosha, ardhi na maji mengi. Kwa nini usibakie kwenye eneo lako au hapa Senegal na kulima? Kwa sababu ardhi haimtupi mtu.! Kwa mujibu wa IFAD, zaidi ya asilimia 40 ya vijana nchini ...
Afisa huyo wa UNHCR amesisitiza hatari nyingine zinazowakabili raia, ikiwa ni pamoja na mabaki ya vilipuzi vinavyohatarisha maisha ya watoto na wakulima wanaojaribu kulima mashamba yao. Jumatatu wiki ...