Lukala amesema wadogo zake hao walipishana kauli kutokana na kiasi cha ugali uliokuwa unapikwa, ambapo Lutaboni anadaiwa alichukua shoka na kumshambulia mdogo wake Lukala, hali iliyosababisha kifo ...