Kwa mujibu wa taarifa ya CNBC, taifa jingine la Afrika linapangwa kuongoza juhudi za kurejesha mazungumzo ya amani.
Tanzania imeongoza Afrika Mashariki kwa mujibu wa ripoti ya Global Peace Index (GPI) inayotolewa na taasisi ya uchumi na amani (IEP)yenye makao yake makuu mjini Sydney nchini Australia.
Wakati yakifanyika mashindano ya kuhifadhi Quran kwa Afrika, Mohamed Amejair (23) kutoka Afrika Kusini ameibuka kidedea na ...
Kuwasili ujumbe huo wa viongozi wa mataifa ya Afrika mjini Bujumbura ni sehemu ya juhudi jumla za kidiplomasia za kujaribu kusaka ufumbuzi wa amani kwa mzozo wa Burundi. Thibitisho la serikali kwa ...
Kadhalika, viongozi na wakuu wa nchi hizo, EAC, SADC na Afrika kwa ujumla wazidi ‘kukuna vichwa’ wakimwomba Mungu wapate ...
Angola imekuwa ikijaribu kuwa mpatanishi kwa lengo kufikia hatua ya kusitisha mapigano la kudumu na kupunguza mvutano kati ya ...
Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamekutana Harare, Zimbabwe pamoja na mambo mengine wamejadili suala la amani Mashariki mwa Jamhuri ya ...