Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limethibitisha kumshikilia bondia maarufu, Hassan Mwakinyo (29), kwa tuhuma za kumshambulia na kumjeruhi Mussa Ally (21), mvuvi na mkazi wa Sahare, jijini Tanga, baada ya ...