Matokeo ya ripoti hiyo yanapendekeza kuwa, mshikamano wa kijamii na kifamilia ulio imara, kuchelewa kwa matumizi ya simu janja na mwingiliano wa ana kwa ana wa kijamii huenda vinachangia katika ...
Mwanzoni mwa mwezi wa Desemba, miezi mitatu iliyopita, waasi wa FLA na wanajihadi wa Jnim, wanaohusishwa na al-Qaeda, walianzisha mazungumzo mapya, kwa wazo la kuchanganya juhudi zao zaidi.