Jambo la kwanza ambalo Simba walilifanya baada ya kutua Misri kikosi hicho kilisafiri umbali wa kilomita 125.2 kutoka mji mkuu wa nchi hiyo, Cairo na kuweka kambi sehemu ambayo Al Masry hawatathubutu ...