Mwanaume aliyeingia katika dunia ya kufanya ngono huku akiwa amelewa (chemsex), ameeleza jinsi alivyogeuka kuwa "zombi" na maisha yake yalikuwa yakiharibika polepole. Chris - jina lake ...
Mtu aliyebuni jina la nchi ya Tanzania, Mohammed Iqbal Dar mwenye asili ya India, amefariki dunia huko Birmigham, Uingereza akiwa na umri wa miaka 80. Amefariki usiku wa kuamkia leo nchini ...