资讯
Uamuzi wa nani atakayechaguliwa kuwa Papa ajaye unaweza kuwa na athari kubwa kwa Kanisa Katoliki na waumini wake wapatao bilioni 1.4 duniani kote. Lakini pia huu ni mchakato mgumu na usiotabirika ...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete, leo amezindua rasmi Bodi mpya ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na kutoa maelekezo ...
Mazishi ya Papa Francis yatafanyika Jumamosi katika uwanja wa St Peter's Square, Vatican imethibitisha, huku mamia kwa maelfu wakitarajiwa kuhudhuria. Mkuu huyo wa Kanisa Katoliki alifariki ...
MOJA kati ya habari kubwa kwa mashabiki wa Liverpool kwa mwezi huu ilikuwa ni kusaini mkataba mpya wa miaka miwili ambao utamwezesha kusalia hadi mwaka 2027. Mbali ya furaha ambayo mashabiki wa ...
Hatua hiyo imekuja baada ya Marekani kuiwekea China ushuru wa asilimia 34, hali iliyozua majibizano makali. China ilijibu mashambulizi hayo Jumapili, huku Trump akiipa saa 24 kuondoa ushuru huo.
Moja ya malengo ya Nairobi ni kufungua fursa mpya katika biashara, uwekezaji na miundombinu. Mazungumzo ya nchi mbili na Xi Jinping ni ajenda katikati ya vita vya kibiashara kati ya China na Marekani.
Leo ni sikukuu ya Pasaka waumini wa kikristo wanasherehekea kukufuka kwa Yesu zaidi ya miaka 2000 iliyopita huko Yerusalem, Mashariki ya Kati.
Katika kipindi hiki, wabunge wanaotarajia kutetea nafasi zao wanakabiliwa na mitihani mitano mikubwa, ikiwemo kujenga ushawishi miongoni mwa wajumbe wa vyama vyao ili kulinda kura walizovuna mwaka ...
Kwa mujibu wa mtandao wa Vatican News, mkutano huo ulidumu kwa saa moja na nusu, kuanzia saa 3:00 hadi saa 4:30 (saa za Ulaya). Imeelezwa waliokuwa katika mkutano huo uliofanyika kwenye ukumbi wa ...
KOCHA Aykhan Farzukh wa timu ya Shamakhi FK anayoitumikia Mtanzania Alphonce Mabula amemtaja staa huyo kama kiungo atakayekuja kufanya makubwa kwani bado umri unamruhusu. Mabula amejiunga na timu hiyo ...
Utaratibu wa kumtafuta kiongozi mpya wa Kanisa hilo, unatarajiwa kuanza kati ya siku 15 hadi 20, ambapo Makadinali watapiga kura. Makadinali 135 wanatarajiwa kupiga kura, 108 walichaguliwa na Papa ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果