资讯
Uamuzi wa nani atakayechaguliwa kuwa Papa ajaye unaweza kuwa na athari kubwa kwa Kanisa Katoliki na waumini wake wapatao bilioni 1.4 duniani kote. Lakini pia huu ni mchakato mgumu na usiotabirika ...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete, leo amezindua rasmi Bodi mpya ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) na kutoa maelekezo ...
Kulingana na duru kutoka Syria, serikali hiyo mpya haitokuwa na nafasi ya waziri mkuu na Al sharaa aliyeongoza mapambano ya kumuondoa Bashar Al Assad madarakani, anaesemekana kuwa uhamishoni ...
Kata Ibadakuli yaona fursa mpya kiuchumi "UVCCM wilaya ya Shinyanga Mjini, tumeridhishwa na kazi kubwa ambayo anaifanya Rais wetu Dk.Samia Suluhu Hassan ya utekelezaji wa Ilani ya CCM pamoja na ...
Rebeca Grynspan: Wakati mataifa haya mawili yenye uchumi mkubwa zaidi duniani yanapowekeana ushuru, itaathiri kila mtu, siyo tu wao wenyewe. Tayari tupo katika hali ya “kawaida mpya” ya ukuaji mdogo ...
Mazishi ya Papa Francis yatafanyika Jumamosi katika uwanja wa St Peter's Square, Vatican imethibitisha, huku mamia kwa maelfu wakitarajiwa kuhudhuria. Mkuu huyo wa Kanisa Katoliki alifariki ...
MOJA kati ya habari kubwa kwa mashabiki wa Liverpool kwa mwezi huu ilikuwa ni kusaini mkataba mpya wa miaka miwili ambao utamwezesha kusalia hadi mwaka 2027. Mbali ya furaha ambayo mashabiki wa ...
Dar es Salaam. Hatima ya upatikanaji wa Katiba mpya sasa imewekwa mikononi mwa jopo la majaji watatu linaloongozwa na Jaji Adam Mambi. Majaji wengine katika jopo hilo ni Dk Zainabu Mango na Frank ...
Mwenyekiti wa Klabu, Murtaza Mangungu Mangungu pia ametambua mchango wa watu waliowahi kuleta mapinduzi kwenye uuzaji wa jezi, akiwemo Kassim Dewji, Vunja Bei na Sandaland, huku akisema Jayrutty sasa ...
LIVERPOOL, ENGLAND: KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amefungua milango ya kusaini mkataba mpya wa kuendelea kusalia kwenye kikosi hicho na kufunguka kwamba ameelewa kwanini kocha wa zamani wa timu hiyo ...
Katika muktadha huu mpya, ni jinsi gani mipango hiyo miwili itaratibiwa - na Faure Gnassingbé atakuwa na nafasi gani ya kuendelea mazungumzo kati ya pande hasimu? Katika suala hili ...
Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani WHO leo limesema mamilioni ya vifo vtokanavyo na homa ya uti wa mgongo au meningitis vinaweza kuepukwa ikiwa nchi zitaweza kuanzisha miongozo mipya ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果