Kwa hapa nyumbani mashabiki wa klabu hizo wanasubiri baada ya dakika 90 kwa kila mchezo kuanza kutambiana na kuchekana kwa kile kitakachotokea kwenye michezo hiyo. Kimsingi klabu hizi zote ...
Mara ya mwisho kuona kipindi cha TV kama Bongo Star Search (BSS) kinaanzia Tanzania kisha kinakuza mbawa zake kwenda nje ya mipaka ya TZ ni lini? Mimi hata sikumbuki. Lakini kwa sasa Bongo Star Search ...
Kubwa zaidi kwa Taifa Stars, mashindano ya Morocco yatakuwa ni uwanja muhimu wa kujipima uwezo kuelekea Afcon ya 2027 ambayo Tanzania, Kenya na Uganda kwa pamoja watakuwa wenyeji. Kufanya vizuri kwa ...
2025 ambazo timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ ni miongoni mwa timu shiriki. Wakongwe hao ni Mustapha Hadji, Serge Aurier, Aliou Cisse na Joseph Yobo. Mustapha Hadji anakumbukwa kwa mchango wake ...
MATEKA WATAACHIWA MUDA MFUPI UJAO. ASANTENI!" Mkurugenzi wa Mkuu wa Afya wa Kenya Dkt Patrick Amoth amesema taifa fa hilo liko katika hali ya tahadhari baada ya ugonjwa unaoshukiwa kuwa wa Marburg ...
SERIKALI imewaomba wadau wa soka kuunga mkono timu ya taifa ‘Taifa Stars’ katika maandalizi ya kujiandaa na michuano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani ‘CHAN’ yatakayofanyika Agosti mwaka huu ...
Taifa Stars iliposhiriki fainali za Afcon kwa mara ya kwanza mwaka 1980, ilipangwa katika kundi A ambalo lilikuwa na timu za Nigeria, Misri na Ivory Coast na iliposhiriki mara ya pili mwaka 2019 ...
Donald Trump amerejea tena katika Ikulu ya White House baada ya kuapishwa rasmi kuwa rais wa 47 wa taifa hilo Jumatatu tarehe 20 Januari. Trump ameahidi kuanza kwa "enzi mpya" kwa nchi hiyo na ...
JUMLA ya megawati 30 za jotoardhi zinatarajiwa kuingizwa kwenye Gridi ya Taifa ifikapo mwaka 2026/2027 Hii inafuatia uwepo wa Megawati 5000 za umeme na Megawati 15000 za Joto kwa ajili ya matumizi ya ...
Makala ya 72 ya Safari Rally yataandaliwa kati ya tarehe 20-23 mwezi Machi eneo la bonde la ufa nchini Kenya. WRC Safari ... katika eneo la kupeperusha bendera kwenye barabara ya City Hall na ...
Idadi ya magari ya umeme inaripotiwa kuongezeka barabarani na kwa Kenya, mradi wa Tusonge na EVs , unaosimamiwa na shirika la umoja wa mataifa la mazingira, UNEP, ulizinduliwa miezi tisa iliyopita.
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果