ADOLF Mtasingwa Bitegeko. Amekuwa mhimili mkubwa kwenye safu ya kiungo Azam FC. Ni mmoja wa nyota wanaotajwa kufanya makubwa kwenye kikosi cha Taifa Stars baada ya kuitwa mara mbili na anatarajiwa ...
Dar es Salaam. Hatimaye ile siku imefika na haina kipengele ambapo wababe wa soka la Tanzania, Yanga SC na Simba SC wanakutana katika dabi ya Kariakoo itakayopigwa Dimba la Benjamin Mkapa ukiwa ni ...