TIMU ya taifa ya wanawake chini ya miaka 17 ‘Serengeti Girls’ kesho itashuka Uwanja wa Levy Mwanawasa, Zambia kwenye mchezo wa marudiano kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Zambia. Ni mchezo wa kufa ama ...