Mahakama iliwaruhusu Mawakili wa Jamhuri na upande wa utetezi kuwasilisha hoja zao kabla ya kutoa adhabu. Wakili wa Serikali Mwandamizi Ellen Masululi alidai Jamhuri haina kumbukumbu ya makosa mengine ...
LINDI: CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Ipilinga Panya amemuomba Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kutoa kauli ya katazo kwa vyombo mbalimbali vya dola ambavyo vimekuwa vikiwakamata Mawakili ...
Pingamizi hilo limeibuliwa na Wakili wa Serikali, Mkama Musalama akidai wakati shahidi wa nne akiendelea kutoa ushahidi, shahidi huyo alikuwa amekaa karibu akiisikiliza na kwamba pia mwombaji katika ...
Dodoma. Wakili Tenzi Nyundulwa aliyekuwa akiomba kibali cha mahakama ili afungue kesi kupinga hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kumruhusu makamu wake, Dk Philip Mpango kuendelea na majukumu yake ...