TIMU ya Tanzania, Taifa Stars, keshokutwa Jumatano itashuka dimbani kucheza dhidi ya Morocco kwenye mchezo wa Kundi E wa kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2026. Mchezo huo utachezwa kwenye Uwanja wa Honneur ...