YouTube ilianza kama tovuti isiyo ya kiwango cha juu ya kushiriki video. Lakini katika kuadhimisha miaka 20, maudhui ya jukwaa yamebadilisha kimsingi jinsi tunavyofikiri, kuhisi na kuingiliana.
Ripoti ya furaha duniani inayosimamiwa na Umoja wa Mataifa (World Happiness Report 2025) imetangazwa, na kwa mara nyingine tena, Tanzania iko chini katika orodha ya nchi zenye furaha duniani.
“Wanawake wanapopata rasilimali, wanaweza kujikomboa kutoka katika umaskini na kuchangia maendeleo ya jamii nzima.” Jua la asubuhi lilikuwa bado halijachomoza vizuri wakati Fatuma Seif Juma alipoanza ...
Mmoja wa wawakilishi hao ni Salome Gatakaa Araka ambaye anaanza kwa kueleza ni nini jukumu lao katika harakati za kusongesha malengo ya Maendeleo Endelevu. “Shirika hili linatetea akina mama na ...
Alipoingia madarakani Machi 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan alikuja na maono thabiti kwa Tanza­nia ya kuhakikisha kila mwa­nanchi anafanya kazi katika mazingira ...
Dar es Salaam. Kama kuna jambo linalowagusa wasanii wa Tanzania hasa Bongo Fleva na Bongo Movie ni maisha kabla na baada ya umaarufu. Swali kubwa ni je wasanii wetu wanajua jinsi ya kujiweka sawa ...