Brent Dmitruk anajiita mtabiri wa matetemeko ya ardhi. Mnamo katikati ya Oktoba, alieleza kwa wafuasi wake maelfu kadhaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba tetemeko la ardhi lingepiga sehemu ya ...
Katika mahojiano na NBC News, rais huyo wa Marekani alisema anakerwa na Putin kwa kuhoji na kumshambulia Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky kuhusu uhalali wake. Kauli hii imezua maswali kuhusu ...
Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani WHO, leo limeonya kwamba kupunguzwa kwa ufadhili hasa wa Marekani kunatishia mafanikio ya miongo kadhaa katika mapambano dhidi ya kifua kikuu au TB, ambao ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la kupambana na ukimwi UNAIDS leo limeonya kwamba kusitishwa kwa ufadhili wa Marekani sio tu janga kwa vita dhidi ya gonjwa hilo bali ni chachu ya vifo na ongezeko la ...
Hivyo, amewakumbusha wanaotaka ubunge na wabunge waliopo madarakani kuzingatia maadili, huku akitoa rai kwa wajumbe wa CCM, ambao watapiga kura kuchagua mgombea mmoja kati ya watatu ndani ya chama, ...
Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. Polisi Mkoa wa Mara linawashikilia askari wawili wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za ...
Kwa zaidi ya masaa mawili, Simba ilikosa kupata fumbuzi wa changamoto hiyo. Jumamosi mchana saa sita, bodi ya ligi ilitoa taarifa ya kuahirisha mechi huku ikidai kufanya uchunguzi zaidi kabla ya ...