Mkutano kati ya ujumbe wa Marekani na kundi la wapatanish wa Urusi wa mpango wa kusitisha mapigano nchini Ukraine ulifanyika mjini Riyadh. Wamarekani walifanya mazungumzo na ujumbe wa Kyiv siku ya ...
Moshi. Waswahili wanasema panapofuka Moshi chini kuna moto, ndivyo unaweza kuelezea kile kinachoendelea katika jimbo la Moshi mjini kufuatia mtifuano baina ya makada wa CCM kutokana na baadhi yao ...
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Uturuki cha Republican People's Party (CHP) ametoa wito siku ya Jumanne kwa mkutano mkubwa mjini Istanbul siku ya Jumamosi kumuunga mkono meya wa jiji ...
Mkutano mpya kati ya timu za Ukraine na Marekani kuhusu usitishwaji vitakati ya Kyiv na Moscow unaendelea mjini Riyadh, siku moja baada ya kumalizika kwa duru ya kwanza ya majadiliano kati ya ...
MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Bukoba (BUWASA) mkoani Kagera imeendelea kutekeleza miradi ya maji ambapo hadi kufikia Desemba 2024 upatikanaji wa huduma ya maji kwa wakazi wa Bukoba mjini ...
MBUNGE wa Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na atu wenye ulemavu, amekabidhi kombati 100, kwa Itifaki ya ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. Jeshi ...
Badala yake, amewashauri kutumia fedha hizo kuanzisha biashara kama maduka. Wasira alitoa kauli hiyo jana wakati akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na makundi mbalimbali ya wananchi katika mkutano ...
Siku ya jana, mhariri mkuu wa jarida la The Atlantic, huko Marekani alifichua kuwa alijua saa mbili kabla juu ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya Wahouthi nchini Yemen, baada ya maafisa wa ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres hii leo amesema licha ya sintofahamu na ukosefu wa utulivu vilivyokabili dunia, angalau leo mkutano kuhusu hatua kwa tabianchi umefanyika kukiwa na ...