Kigoma. Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Kigoma (RCC) imeridhia kugawanya majimbo manne ya uchaguzi mkoani Kigoma ambayo ni ...
Kigoma. ’Vumbi sasa basi.’ Ni kauli ya matumaini kwa wananchi wa Kigoma, wakielezea adha waliyokuwa wakipitia kabla ya ujenzi wa barabara ya Kabingo- Kasulu- Manyovu. Ujenzi wa barabara ...
Mkuu wa kituo cha umahiri wa usalama barabarani Afrika Mashariki na kusini mwa Afrika, Godlisten Msumanje alisema hayo mjini ...
Mkutano kati ya ujumbe wa Marekani na kundi la wapatanish wa Urusi wa mpango wa kusitisha mapigano nchini Ukraine ulifanyika mjini Riyadh. Wamarekani walifanya mazungumzo na ujumbe wa Kyiv siku ya ...
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Uturuki cha Republican People's Party (CHP) ametoa wito siku ya Jumanne kwa mkutano mkubwa mjini Istanbul siku ya Jumamosi kumuunga mkono meya wa jiji ...
Mkutano mpya kati ya timu za Ukraine na Marekani kuhusu usitishwaji vitakati ya Kyiv na Moscow unaendelea mjini Riyadh, siku moja baada ya kumalizika kwa duru ya kwanza ya majadiliano kati ya ...
MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Bukoba (BUWASA) mkoani Kagera imeendelea kutekeleza miradi ya maji ambapo hadi kufikia Desemba 2024 upatikanaji wa huduma ya maji kwa wakazi wa Bukoba mjini ...
MBUNGE wa Jimbo la Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na atu wenye ulemavu, amekabidhi kombati 100, kwa Itifaki ya ...
Taarifa iliyotolewa leo mjini Kigali nchini Rwanda imesema kuwa, mamlaka ya Rwanda jana Jumapili iliunga mkono uamuzi wa kundi la waasi la M23 kujiondoa katika mji muhimu wa madini wa Walikale na ...
Licha ya miaka 62 tangu Uganda kupata uhuru wake kutoka kwa Uingereza, barabara nyingi mjini Kampala bado zinatumia majina ya walikouwa viongozi wa kikoloni. Mwaka 2020, zaidi ya watu 5,000 ...
Badala yake, amewashauri kutumia fedha hizo kuanzisha biashara kama maduka. Wasira alitoa kauli hiyo jana wakati akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na makundi mbalimbali ya wananchi katika mkutano ...
Flora Nducha amefuatilia onyo hilo lililotolewa leo mjini Geneva Uswisi na Mkurugenzi mtendaji wa UNAUDS Winnie Byanyima alipozungumza na waandishi wa habari. Bi. Byanyima amewaambia waandishi wa ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果