资讯

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania (Chadema) kimesema kuwa kiongozi wake mkuu, Tundu Lissu anaendelea kushikiliwa na polisi baada ya kukamatwa Jumatano jioni alipomaliza kuhudhuria mkutano ...
TANZANIA inatazamia kukuza na kuimarisha zaidi uhusiano na taifa la Niger katika nyanja za biashara, uwekezaji na utalii kwa manufaa ya nchi zote mbili, Rais Mstaafu na Mjumbe Maalum wa Rais Samia ...
Shaabani Ngodoki ni mmoja wa wananchi hao, amesema awali kwenda Kigoma Mjini ilikuwa tunatumia Sh500, lakini sasa wanalazimika kulipa Sh1,500 hadi Sh2,000 kuzungukia barabara ya Kasulu. “Jambo hili ...
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimeondolewa kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu, afisa mkuu wa tume ya uchaguzi amesema siku ya Jumamosi, siku chache baada ...
Pamoja na ukuaji wake mzuri katika soko la dunia, wataalamu wanasema Tanzania kihistoria imeweka mkazo zaidi kwenye dhahabu kutokana na bei yake ya juu katika soko la dunia. Mahakama ya Hakimu Mkazi ...