baada ya zaidi ya miaka mitatu ya mzozo, lilikubaliwa na Rais wa Ukraine Volodomyr Zelensky na linawekwa kuwa kiini cha majadiliano kati ya wakuu wa diplomasia wa nchi zilizoendelea zaidi ...
Fursa ya kuimarisha ushirikiano huu wa kimkakati uliotiwa saini mwaka 2007 kati ya EU na Afrika Kusini. Mkutano huu haujafanyika tangu mwaka 2018. Na katika muktadha wa mivutano ya kidiplomasia ...
Nchi hiyo ilichaguliwa kwa sababu ya uhusiano kati ya mtawala wake mkuu, Mwanamfalme Mohammed bin Salman, alionao na Rais Vladimir Putin wa Urusi na Rais wa Marekani Donald Trump. Serikali ya ...
Mmoja kati ya wake za kiongozi wa kundi la waasi LRA Joseph Kony pamoja na watoto wake watatu wamewasili Uganda kutoka nchi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati usiku wa mkesha wa Jumatano. Kurudi kwao ...
Barua ya DRC inaomba kwamba Rais Trump binafsi awepo kwenye mijadala kuhusu ushirikiano huu, na kwamba "mkutano kati ya Rais Trump na Rais Tshisekedi utakuwa muhimu" katika kufanikisha ushirikiano ...
kama inavyooneshwa na mageuzi ya kisheria 1,531 yaliyoidhinishwa katika nchi na maeneo 189 kati ya 1995 na 2024. Hii inaonesha kuwa haki za wanawake zinapoheshimiwa kikamilifu katika nchi wanazoishi, ...
Anasema, "kupungua kwa misaada ya kigeni duniani inaleta tishio kubwa kwa shughuli zetu katika Afrika Magharibi, hasa katika Sahel ya Kati na Nigeria, kwa kuwa mamilioni ya watu watakumbwa na kiwango ...
Dodoma. Watoto wawili kati ya 100 huzaliwa na tatizo la moyo nchini kila mwaka, huku wataalamu wakibainisha kuwa wengi hawagunduliki mapema na hufariki wakitibiwa magonjwa mengine ikiwemo kukosa pumzi ...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo Machi 11,2025 amekutana na Martha ambaye siku za hivi karibuni amesikika kupitia mitandao ya kijamii kuwa anaidai Hospitali ya Rufaa ya Amana zaidi ...
Ripoti inabainisha asilimia 22.3 ya wahitimu wa vyuo vikuu ndio waliopata nafasi ya kuajiriwa katika sekta rasmi, huku nyingine zikijazwa na wahitimu wa vyuo vya kati, ufundi, shule za sekondari, ...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPP), David Kafulila, ameungana na wanawake katika kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa kutoa ripoti tatu ...
BENCHI la ufundi la Simba linazidi kukuna kichwa juu ya jereha linalomsumbua beki wa kati, Fondoh Che Malone aliyepelekwa Morocco kwa ajili ya kufanyiwa matibabu kwa lengo la kuwahi mapema kabla ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果