Ajali ya lori la mafuta na mizigo yaua wawili Morogoro. Watu wawili wamefariki dunia baada ya kuteketea kwa moto uliosababishwa na mlipuko kufuatia ajali ya uso kwa uso kati ya gari la mafuta ...
Msimu huu ukiondoa farasi hao wawili kwenye mbio za ubingwa, shughuli pevu ya jasho na damu ipo pia katika kuwania nasi ya tatu na ya nne, ambapo kumeonekana kuna upinzani mkali kati ya Azam FC, ...
Fursa ya kuimarisha ushirikiano huu wa kimkakati uliotiwa saini mwaka 2007 kati ya EU na Afrika Kusini. Mkutano huu haujafanyika tangu mwaka 2018. Na katika muktadha wa mivutano ya kidiplomasia ...
Hiyo ni baada ya kuahirishwa kwa mchezo huo namba 184 wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Simba... SWALI ambalo huko mtaani mashabiki wanajiuliza ni kwamba, hiyo mechi ya Kariakoo Dabi ipo au haipo?
baada ya zaidi ya miaka mitatu ya mzozo, lilikubaliwa na Rais wa Ukraine Volodomyr Zelensky na linawekwa kuwa kiini cha majadiliano kati ya wakuu wa diplomasia wa nchi zilizoendelea zaidi ...
HUKO mtaani hadi mtandaoni, gumzo ni taarifa zilizovuja mapema Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amepewa kibano kwa kufungiwa kutokana na kukutwa na hatia ya kutoa maneno ya kejeli kwa waamuzi, hata ...
Serikali inaeleza mikakati hiyo, wakati bei ya mtungi wa kilo sita wa gesi uliokamilika na jiko lake ukiuzwa kati ya Sh45,000 na Sh55,000 kutegemea na kampuni husika, kwa mujibu wa wafanyabiashara wa ...
Mmoja kati ya wake za kiongozi wa kundi la waasi LRA Joseph Kony pamoja na watoto wake watatu wamewasili Uganda kutoka nchi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati usiku wa mkesha wa Jumatano. Kurudi kwao ...
Dodoma. Watoto wawili kati ya 100 huzaliwa na tatizo la moyo nchini kila mwaka, huku wataalamu wakibainisha kuwa wengi hawagunduliki mapema na hufariki wakitibiwa magonjwa mengine ikiwemo kukosa pumzi ...
Piyush Goyal anasisitiza ushirikiano wa baadaye wa India-Qatar katika Kongamano la Biashara la India-Qatar, akiangazia uendelevu, teknolojia, ujasiriamali na nishati kama nguzo muhimu. Waziri Goyal na ...