Nahreel & Aika (Navy Kenzo) Walikutana miaka 16 iliyopita na kupendana na sasa wana watoto wawili, hadi mwaka 2013 ndipo Nahreel na Aika wakaanzisha kundi la Navy Kenzo, mradi ambao umefanikiwa na ...
Kipindi anaanza muziki, Dayna Nyange alikuwa akifanya rap na siyo kuimba kama ilivyo sasa na huyu si msanii pekee wa kike kutoka kwenye rap hadi kuimba hapa Bongo, kuna Vanessa Mdee, Lady Jaydee na ...