Kiongozi wa wengi Amos Kimunya amekanusha madai kuwa hongo hulipwa bungeni. BBC imemtaka Bw Kimunya kujibu madai ya Bw Kuria lakini bado hajazungumza chochote. Wabunge wa Kenya ni baadhi ya ...