Safari yake ya utendaji katika wadhifa wa urais, ilianza na mashaka kutoka kwa baadhi ya wananchi, wakidhani uendelezaji wa ...
Kabla ya mwaka 2022 Kanda ya Dar es Salaam ilikuwa ukiongoza katika ukusanyaji wa mapato ya ndani ya halmashauri nchini, ...
Katibu wa Chama cha Wananchi (CUF) Mkoa wa Mwanza, Iddi Kiula alisema falsafa ya Rais Samia ya 4R (maridhiano, ustahimilivu, mageuzi na kujenga upaya) imepunguza vikwazo katika demokrasia. Ameiomba ...
Tanzania na Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa shilingi bilioni ...
Kwa hiyo mwishowe unaamua unachomoa fedha ambayo ipo kwenye filamu, unachukua ndege, unalipa hoteli, unatulia, Sengerema mpaka Mwanza, usafiri ni kama laki moja, kipindi hicho ukitumia gari private, ...
Katika kesi hiyo namba 72/2024, Wakili wa Serikali, Raphael Mpuya, akisoma shtaka mbele ya Hakimu Mhini, alieleza kuwa watuhumiwa 36, akiwemo Said Omary Buba (25) mkazi wa Kizuiani, Dar es Salaam, ...
KATIKA hali isiyo ya kawaida, mkazi wa Kijiji cha Mwanekeyi, Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza, Shaban Lyahasi (24), ameangua kilio mahakamani alipotakiwa kujitetea kabla ya kusomewa hukumu katika kesi ...