Safari yake ya utendaji katika wadhifa wa urais, ilianza na mashaka kutoka kwa baadhi ya wananchi, wakidhani uendelezaji wa ...
Kabla ya mwaka 2022 Kanda ya Dar es Salaam ilikuwa ukiongoza katika ukusanyaji wa mapato ya ndani ya halmashauri nchini, ...
Katibu wa Chama cha Wananchi (CUF) Mkoa wa Mwanza, Iddi Kiula alisema falsafa ya Rais Samia ya 4R (maridhiano, ustahimilivu, mageuzi na kujenga upaya) imepunguza vikwazo katika demokrasia. Ameiomba ...
Tanzania na Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa shilingi bilioni ...
Kwa hiyo mwishowe unaamua unachomoa fedha ambayo ipo kwenye filamu, unachukua ndege, unalipa hoteli, unatulia, Sengerema mpaka Mwanza, usafiri ni kama laki moja, kipindi hicho ukitumia gari private, ...
Mechi hiyo ilipigwa kwenye Uwanja wa Nyamagana, Mwanza na Yanga ilipindua meza kwa ushindi wa 2-1 baada ya kutanguliwa kwa bao la mapema la Adam Sabu 'Gerd Muller' kabla ya kuchomoa bao katika dk 87 ...
Tumekusanya maelezo ya kina kutoka kwa wakazi, ambao hawawezi kutambuliwa, kwa sababu ya ulinzi wao wenyewe. Tuliwaandikia M23 ili kupata maoni yao juu ya madai kuwa walifanya mauaji makubwa ...
Katika kesi hiyo namba 72/2024, Wakili wa Serikali, Raphael Mpuya, akisoma shtaka mbele ya Hakimu Mhini, alieleza kuwa watuhumiwa 36, akiwemo Said Omary Buba (25) mkazi wa Kizuiani, Dar es Salaam, ...
Ile siku inayosubiriwa rasmi kila mwaka kwa ajili ya Mkutano wa kutathmini hali ya wanawake duniani imefika ambapo leo mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa kuhusu Hali ya Wanawake duniani, ...
KATIKA hali isiyo ya kawaida, mkazi wa Kijiji cha Mwanekeyi, Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza, Shaban Lyahasi (24), ameangua kilio mahakamani alipotakiwa kujitetea kabla ya kusomewa hukumu katika kesi ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果