Sehemu ya eneo la Bandari Kavu ya Kwala. Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Bandari Kavu ya Kwala, iliyopo wilayani Kibaha mkoani Pwani, imeanza kuhudumia wastani wa kontena 823 kwa siku, sawa na ...
BANDARI kavu ya Kwala iliyopo Vigwaza, Kibaha Pwani inatarajiwa kuhudumia shehena ya makasha 823 kwa siku. Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa alisema bandari ya Kwala inatarajiwa kuhudumia hadi ...
PWANI: BANDARI Kavu ya Kwala iliyopo wilayani Kibaha mkoani Pwani ina uwezo wa kuhudumia kontena 300,000 kwa mwaka ni mara tatu ya Bandari ya Dar es Salaam, kwa mujibu wa Msemaji wa Serikali, Gerson ...
Pwani. Huenda foleni ya malori ndani ya Jiji la Dar es Salaam ikawa inaelekea ukingoni baada ya bandari ya Kwala kuanza kuhudumia mizigo inayoshushwa bandari. Kutokana na hilo, Serikali imeutaka ...