Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) imeendelea kung’ara baada ya kushinda tuzo mbili za umahiri zilizotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kwa mwaka ...
Dar es Salaam. Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imemkamata Interindwa Kirumbi (67), maarufu mama Dangote anayedaiwa kuwa kinara wa biashara ya mirungi. Kukamatwa kwa ...
Georgia ambaye kitaaluma ni mwalimu, anatajwa kuwa kinara wa siasa aliyekuwa bega kwa bega na mumewe katika harakati za demokrasia. Walio ndani ya DP wanasema ni vigumu kumtenganisha Georgia na ...