资讯
Kwa mujibu wa Shirika la Afya duniani (WHO), mwaka 2021 wanawake waliofikisha umri wa ukomo wa hedhi hasa wa miaka 50 na zaidi walikuwa asilimia 26 ya wanawake na wasichana wote duniani.
Ukraine ilikubali. Urusi haikufanya hivyo. Au tuseme, ilikuja na orodha ndefu ya masharti. Badala ya siku 30, Kremlin iliamua saa 30. Siku ya Jumamosi, Rais Vladimir Putin alitangaza mapatano ya ...
Wasanii wengine waliofanya vizuri ni Bella Kombo kupitia wimbo wa Mungu ni mmoja alioimba na msanii wa Kenya Evelyn Wanjiru, kundi la Zabroni Singer’s, Paul Clement, Solomon Mukubwa wa Kenya, Harun ...
Shaabani Ngodoki ni mmoja wa wananchi hao, amesema awali kwenda Kigoma Mjini ilikuwa tunatumia Sh500, lakini sasa wanalazimika kulipa Sh1,500 hadi Sh2,000 kuzungukia barabara ya Kasulu. “Jambo hili ...
Ibada ya mazishi ya Papa Francis, itafanyika Jumamosi wiki hii ikiongozwa na Kardinali Giovanni Battista Re, Dekano wa Baraza la Makardinali, katika Kanisa Kuu la Petro, jijini Vatican. Taarifa ya ...
Na mwandishi wetu mjini Kinshasa, Paulina Zidi Umoja wa Mataifa umerekodi zaidi ya wahasiriwa 1,200 wa ukiukaji wa haki za binadamu na dhuluma kote DRC mwezi wa Februari. Idadi hii inawakilisha ...
Vatican. "Asante kwa kunirudisha kwenye uwanja." Ni miongoni mwa maneno ya mwisho ya Papa Francis aliyoyatoa kwa ambao katika wakati wa ugonjwa, lakini hata muda mrefu uliopita, walimwangalia bila ...
Kambi ya matibabu iliyofanywa na madaktari bingwa wa Tanzania nchini Comoro imekuwa ya mafanikio makubwa kwani wananchi zaidi ya 2,270 waliokuwa na changamoto za kiafya walipata tiba. Hayo yalisemwa ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果