资讯

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda, amesema mamlaka hiyo iko tayari kuchukua hatua kali dhidi ya baadhi ya wafanyabiashara wa mafuta wanaoagiza mafuta kwa madai ya ...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini kwa mwezi Aprili, zitakazotumika kuanzia leo. Kwa mwezi huu, gharama za ...
Hata hivyo, wataalamu wa masuala ya afya wanasema mabaki haya yanayoenguliwa kutoka kwenye mafuta yaliyokaanga kuku ni hatari, yakitajwa kuwa chanzo cha magonjwa yakiwamo ya moyo. Hatari hiyo ...
Kwa nini wachezaji wa kikapu hupaka mafuta chini ya viatu vyao mara kwa mara wakati wa mechi? Mara nyingi mastaa hao hupaka au kufuta chini ya viatu vyao kwa kutumia mafuta flani hivi laini wakati wa ...
Exaud Kigahe, pamoja na viongozi wakuu wa kitaifa na kikanda, wawakilishi kutoka mashirika ya kimataifa, wadau wa afya na lishe, wasindikaji wa chakula, wadau kutoka sekta mbali mbali na wawakilishi ...
Anashutumiwa kwa kuwanyonya watu maskini ambao wana hamu ya kuboresha maisha yao kwa kuwauzia bidhaa ikiwa ni pamoja na "mafuta ya miujiza." Bushiri anayejiita Nabii anadai ameponya watu VVU ...
Ukraine ilikubali. Urusi haikufanya hivyo. Au tuseme, ilikuja na orodha ndefu ya masharti. Badala ya siku 30, Kremlin iliamua saa 30. Siku ya Jumamosi, Rais Vladimir Putin alitangaza mapatano ya ...
Maofisa wanasema ajali hiyo ilitokea baada ya boti hiyo iliyokuwa imebeba abiria na mafuta kupinduka na kushika moto. Mamia ya abiria walikuwa kwenye boti hiyo ya mbao kwenye Ziwa Kongo kaskazini ...
VATICAN : MAZISHI ya Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis yamepangwa kufanyika siku ya Jumamosi katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Bikira Maria Mkuu. Vatican imetangaza kuwa waumini wataanza ...
Na mwandishi wetu mjini Kinshasa, Paulina Zidi Umoja wa Mataifa umerekodi zaidi ya wahasiriwa 1,200 wa ukiukaji wa haki za binadamu na dhuluma kote DRC mwezi wa Februari. Idadi hii inawakilisha ...
IRINGA; WATU saba wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa baada ya kutokea ajali ya barabarani iliyohusisha gari la wagonjwa lenye namba za usajili STM 7840 na pikipiki ya magurumu matatu ya kubeba ...