TAKRIBANI wakazi 204 wa Mtaa wa Yombo Dovya, Temeke mkoani Dar es Salaam, wameathirika kwa kubabuka ngozi katika maeneo mbalimbali ya mwili, baada ya kudaiwa kutumia mafuta ya kula yenye sumu. Wakazi ...
TotalEnergies inaondoka Mali. Kampuni kubwa ya Ufaransa ya mafuta iliuza hisa zake mwanzoni mwa mwezi huu wa januari kwa Coly Energy Mali, shirika linalosimamiwa na kampuni ya Benin Petro.
Mafuta ya kura ambayo yamewekwa tayari kwa kuuzwa katika soko la Semtema lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Iringa. Picha na Christina Thobias Iringa. Wananchi mkoani Iringa wamelalamikia kupanda kwa ...
Wanaanga hao watahitaji oksijeni kupumua lakini pia kutengeneza mafuta ya roketi kwa ajili ya vyombo vya angani ambavyo vinaweza kurushwa kutoka mwezini na kuelekea maeneo ya mbali zaidi - ikiwa ...
Hatua hii imethibitishwa na Waziri wa mafuta Puot Kang Chol, baada ya zoezi hilo kusitishwa kwa miezi kadhaa baada ya bomba la kusafirisha mafuta hayo kuelekea kwenye bandari ya Port Sudan ...
Katika enzi ambapo kusafiri ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku, na bei za mafuta ni gharama kubwa ya kaya, kuwa na zana ya kukadiria gharama ya petroli kwa safari kunaweza kuwa muhimu sana. Hapo ...
Lakini mtaalamu wa hali ya hewa wa BBC, Sarah Keith-Lucas, anasema hakuna mvua inayotarajiwa katika eneo hilo kwa angalau wiki moja ijayo, hivyo hali inabakia kuwa huenda moto ukaendelea.
DAR ES SALAAM: KIONGOZI wa Chama cha ACT –Wazalendo, Dorothy Semu ametangaza nia ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama katika uchaguzi utakaofanyika mwaka huu.