Serikali ipo mbioni kutengeneza sera mpya ya magari ambayo inalenga kuzuia uingizaji wa magari chakavu nchini, ili kulinda viwanda vya ndani na kuboresha ubora wa magari yanayotumika barabarani.
Siku ya Jumatano, ametangaza nyongeza ya asilimia 25 ya ushuru wa forodha kwa magari, na Alhamisi, Machi 27, ametishia kuongeza shinikizo kwa Umoja wa Ulaya (EU) na Canada. Huko Marekani ...
Kulia ni Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Omary Kumbilamoto. Dar es Salaam. Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), imependekeza kufanyika mabadiliko ya mwongozo unaoruhusu kuuzwa magari ...
Mashindano ya dunia ya kukimbiza magari, Safari Rally yanaendelea nchini Kenya. Madereva mbalimbali kutoka duniani, wanakutana mjini Naivasha kwa ajili ya kutafuta ubingwa wa mwaka 2025.
Lori la mizigo na lori lililobeba Petrol na disel yakiteketea kwa moto baada ya kugongana uso kwa uso usiku wa kuamkia leo Machi 4, 2025 eneo la Nane Nane barabara ya Morogoro -Dar es Salaam. Picha ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果