Mawaziri wa Maji kutoka Ukanda wa Afrika Mashariki wamekubaliana kuwa na takwimu za pamoja kuhusu upatikanaji wa maji chini ya ardhi ili kusaidia utafiti na uwekezaji katika kukabiliana na mabadiliko ...
Majaliwa: Serikali itahakikisha huduma ya maji inawafikia wananchi kwa 100%. WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali inaendelea kusimamia utoaji wa huduma za maji safi na salama nchini ili ...
Katika eneo la Garissa karibu na mpaka wa Somalia , Kamati ya kimataifa ya shirika la msalaba mwekundu,ICRC kupitia miradi ya maji kwa jamii ambao ni waathiriwa wa mzozo wa Somalia ,imeweza ...
Morogoro. Mwanaume mmoja ambaye hajafahamika jina, mkazi wa kata ya Mkundi, mkoani Morogoro amenusurika kufa baada ya kusombwa na maji kufuatia mvua iliyonyesha kuanzia jana jioni hadi leo Jumatano, ...