Ninavyofahamu ni kwamba GSM si mdhamini mkuu wa Yanga na wala si mmiliki wa klabu hiyo yenye makao makuu katika makutano ya Mtaa wa Twiga na Jangwani ... huku Umbro ikizidhamini Bournemouth, Brentford ...