Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Dk. Prosper Mgaya, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa chuo hicho katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya ...
Msanifu Majengo, Neema Mbwambo akiwaonyesha wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo, michoro ya majengo mapya manne ya Chuo Kikuu Ardhi yanayoendelea kujengwa chuoni hapo.
CHUO cha Mafunzo ya Ulinzi na Amani cha Kanda (RPTC), chini ya mwamvuli wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kinaendesha kozi maalum kwa viongozi waandamizi wa ulinzi na usalama ili ...
Dk Andrea Wickfield, mkurugenzi wa kituo cha kushughulikia Upweke katika Chuo Kikuu cha Sheffield Hallam huko Uingereza, anasema "upweke ni hali ya huzuni na hisia ya kutoridhika inayotokana na ...
CHUO cha Kodi (ITA) na Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA), vimeingia makubaliano ya Usimamizi wa Kozi ya Cheti cha Uwakala wa Forodha Afrika Mashariki (EACFFPC), kwa kipindi cha miaka ...
Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Profesa Eliamani Sedoyeka akitoa maelezo kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), walioongozwa na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Japhet ...
Kulingana na utafiti wa mwaka 2018 wa Chuo Kikuu cha Paris-Saclay, uchimbaji wa platinamu kwenye miamba ya angani ungetoa kilo 150 za hewa chafu kwa kila kilo moja ya platinamu inayopatikana.
DAR ES SALAAM: CHUO cha Ustawi wa Jamii kimeahidi kwamba ujenzi wa ukumbi wa mihadhara katika kampasi yake ya Kijitonyama, Dar es Salaam, utakamilika kwa wakati kama ilivyopangwa, licha ya changamoto ...